T TALEI Member Joined Jan 2, 2013 Posts 49 Reaction score 6 Jan 10, 2013 #1 Jamanii wadau ama kweli lugha ya kiswahili kila kunapokucha inazidi kukua na kuongeza msamiati.je wajua kuwa 'laptop' inaitwa ngamizi paja? Nisaidieni wadau msamiati wa kiswahili unaooshiria 'pasword'
Jamanii wadau ama kweli lugha ya kiswahili kila kunapokucha inazidi kukua na kuongeza msamiati.je wajua kuwa 'laptop' inaitwa ngamizi paja? Nisaidieni wadau msamiati wa kiswahili unaooshiria 'pasword'
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,258 Jan 11, 2013 #2 niliwahi kuusikia lakini nimesahau, watatukumbusha hapa
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,258 Jan 11, 2013 #3 kwa sasa tumia direct translation ya neno siri