kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
Wakuu leo nimeshangaa hapa home kuna jirani alikuwa amechimba kisima cha chemchem baada ya kukitumia miezi kadhaa akakifukia yapita sasa mwaka akaamua kufukua kakutana na masamaki ya kambale hivi imekaaje wakuu kambale wanaweza kuzaliana bila kupandikiza vifaranga tena kakuta kambale mkubwa na kitoto