kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
Duh nilikua napata hasara kumbe ngoja niwawekee tope nipunguze gharama zisizo za lazima maana namimi nimefuga hao kambale na nilikua nawalisha kila sikuHuyo alishafuga Kambale bil nyie majirani zake kujuwa kwa sababu alikuwa hataki mjuwe then mje kumuibia usiku.
Duh nilikua napata hasara kumbe ngoja niwawekee tope nipunguze gharama zisizo za lazima maana namimi nimefuga hao kambale na nilikua nawalisha kila siku
Pia kuna jamaa alinambia niwape hata kinyesi cha ng'ombe kibichi vp nacho si ni kizuri au cha binadamu ndo kinafaa mkuuChakula cha Kambale ni tope tu au kinyesi…..elekeza bomba lako la kinyesi humo shimoni mwao, baada ya mwezi tu utaona mikambale hiyo mikubwa kama tembo au nyati….mavi ni mbolea nzuri sana kwa Kambale.
itakuwa mkuu maana nimeshangaa tu jamaa akifikua kisima upya yanatoka makambaleHuyo alishafuga Kambale bil nyie majirani zake kujuwa kwa sababu alikuwa hataki mjuwe then mje kumuibia usiku.
Sasa nimeelewa kwanini baadhi ya watu hawali kambaleChakula cha Kambale ni tope tu au kinyesi…..elekeza bomba lako la kinyesi humo shimoni mwao, baada ya mwezi tu utaona mikambale hiyo mikubwa kama tembo au nyati….mavi ni mbolea nzuri sana kwa Kambale.
Uzuri wa kambale anahimili mazingira magumu..siyo sawa na sato au gegeDuh nilikua napata hasara kumbe ngoja niwawekee tope nipunguze gharama zisizo za lazima maana namimi nimefuga hao kambale na nilikua nawalisha kila siku
Kumbe, wale wa bwawa la mavi arusha tumeshtukaChakula cha Kambale ni tope tu au kinyesi…..elekeza bomba lako la kinyesi humo shimoni mwao, baada ya mwezi tu utaona mikambale hiyo mikubwa kama tembo au nyati….mavi ni mbolea nzuri sana kwa Kambale.
hivi ikishamvua ukimweka kwenye ndoo unamfanyaje mpaka afe maana anachelewa kufa ili tumuandae kitoweoUzuri wa kambale anahimili mazingira magumu..siyo sawa na sato au gege
hawa mara nyingi wanafugwa kwenye mashimo ya mavi ndio wanakua vizuri nakumbuka chuo cha kleruu kilikuwa kinatiririsha maji ya chooni mbaka sekondari lugalo kambale walikuwa wengiKumbe, wale wa bwawa la mavi arusha tumeshtuka
Ila Bata wanakula?Sasa nimeelewa kwanini baadhi ya watu hawali kambale
Pia kuna jamaa alinambia niwape hata kinyesi cha ng'ombe kibichi vp nacho si ni kizuri au cha binadamu ndo kinafaa mkuu
Chakula cha Kambale ni tope tu au kinyesi…..elekeza bomba lako la kinyesi humo shimoni mwao, baada ya mwezi tu utaona mikambale hiyo mikubwa kama tembo au nyati….mavi ni mbolea nzuri sana kwa Kambale.
Na je yale maujiuji yanayokaa kwenye utumbo mkubwa wa wanyama kama ng'ombe na mbuzi ambao humwagwa tu hata mbwa huwa hawali unafaa ukiumwaga kwenye bwawa?Kambale ni fisi wa majini, anakula kila aina ya uchafu na kupata vitamini anavyohitaji.
Baadhi wanakula wengine hawali, vipi nao ni kama kambale?Ila Bata wanakula?
Nao hula vingi kama kambaleBaadhi wanakula wengine hawali, vipi nao ni kama kambale?