Ukuaji wa samaki kambale

Na je yale maujiuji yanayokaa kwenye utumbo mkubwa wa wanyama kama ng'ombe na mbuzi ambao humwagwa tu hata mbwa huwa hawali unafaa ukiumwaga kwenye bwawa?

Yep kwa Kambale ule ni sawa na pilau yake. Kwa kiingereza, Kambale anaitwa a river janitor, yaani msafishaji wa uchafu wote wa majini, mizoga, vinyesi vya wanyama, yaani kila kitu kwa Kambale ni poa tu.
 
Duh nilikua napata hasara kumbe ngoja niwawekee tope nipunguze gharama zisizo za lazima maana namimi nimefuga hao kambale na nilikua nawalisha kila siku
Boss inategemea unafuga kwa dhumuni gan ..kama ni biashara endelea kulisha tena lisha vizur ukiwajazia tope utasubir sana mpaka wakue
 
Ni kwa ajili ya biashara ndg yangu lkn mara nyingi sana wanakula uduvi na utumbo wa perege
Boss inategemea unafuga kwa dhumuni gan ..kama ni biashara endelea kulisha tena lisha vizur ukiwajazia tope utasubir sana mpaka wakue
 
Na vp kuhusu kuwalisha damu ya ng'ombe iliyoganda au ya kuchemsha
 
Lungfish

Yep kwa Kambale ule ni sawa na pilau yake. Kwa kiingereza, Kambale anaitwa a river janitor, yaani msafishaji wa uchafu wote wa majini, mizoga, vinyesi vya wanyama, yaani kila kitu kwa Kambale ni poa tu.
Alafu catfish ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…