Ukuaji wa teknolojia ya Habari na Mawasiliano hutegemea uwepo wa uhuru wa kujieleza

Ukuaji wa teknolojia ya Habari na Mawasiliano hutegemea uwepo wa uhuru wa kujieleza

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2021
Posts
577
Reaction score
2,595
Uhuru wa kujieleza na kutoa Maoni Mtandaoni unapokosena huathiri jamii nzima kwa kuzuia upatikanaji na usambazwaji wa Taarifa Muhimu.

Ni kikwazo kikubwa katika kujenga jamii inayoendana na kasi ya ukuaji wa Teknolojia Habari na Mawasiliano Duniani.

Uhuru huu unapaswa kutambuliwa na kulindwa kwa Sheria ili kuondoa vikwazo kwa wananchi katika kuufurahia.

Hata hivyo, mazingira ya uwazi kwenye majukwaa ya mtandaoni katika maeneo kama vile upimaji wa yaliyomo yanapaswa kuwepo wakati haki za binadamu na sheria za uhuru wa maoni wa kimataifa zikidumishwa.
 
Back
Top Bottom