Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
Ninaomba kutupia swali hili hapa ambalo limekua na majibu mchanganyiko na kwa kuwa hapa kuna kada na kadhia mbalimbali huenda tutapata jibu muafaka.....wapo wanaosema kwamba ni maumbile, wapo wanaosema kwamba yananenepshwa na manii, wapo wanaoisema kwamba ni kutokana na kushikwashikwa wapo wanaosema kwamba ni kutokana na kufanya sana ngono, wapo wanaisema kwamba inatokana na ukoo/urithi, wapo wanaisema kwamba inatokana na vyakula...............kuna wengine wamebainisha kwamba makabila fulani (siyataji japo yanajulikana) asili yao ni matiti makubwa etc.....:mimba:........na hii ya kwamba ukinyonyesha/baada ya kujifungua yanaongezeka............