halo wandugu, baada ya kupitia makala nyingi nimeona na mii naweza kuanza ufugaji wa kuku wa kienyeji na kisasa
nimeplan kujenga mabanda mawili ya urefu wa futi 20 na upana wa futi 16. moja kwa ajili ya kuku wa kienyeji na moja kwa ajili ya kuku wa kisasa wa nyama. sasa maswali yangu ni
1. kwa ukubwa huo ninaweza kuweka kuku wangapi? (kwa wakisasa na wa kienyeji, PLEASE USIGEUZE UREFU HUO KWENDA KWENYE MITA, UTANICHANGANYA)
2. Je kuku wa kisasa na wakienyeji, mabanda yao yakae mbali mbali wa kiasi gani? (je nikiyajenga kama L itakuwa ni shida?)
3. je solar panel ya ukubwa gani itanifaa kwa mradi huu?? kwani sehemu mradi nitakapouweka hakuna umeme
ahsanteni