Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
Mambo mepesi sana haya:Kelele zote ulizokuwa unazisikia mwaka jana ilikuwa ni Confederation Cup.
ukisikia Sakho kashinda goli bora la CAF basi ujue alilipatia kwenye Confederation Cup.
Ukisikia sijui Simba timu ya kwanza kutumia VAR mechi na Orlando, hiyo mechi ni CAF Confederation Cup.
Mwaka huu Yanga imefanikiwa kutinga ROBO FAINALICAF Confederation Cup.
View attachment 2411866View attachment 2411867
Muwe mnatunza kumbukumbu basi, aliyesema ni kombe la walioshindwa ni haji manara akiwakebehi simba, leo hii yanga anashiriki mnaliona ukubwa wakeAlafu saa hizi wanaiita ligi ya walioshindwa!
Haya maisha haya!
Aliyesema kombe la losera si ni huyo Sope wenu hapo salamander?? Au mnajitoaa ufahamuu leo??Alafu saa hizi wanaiita ligi ya walioshindwa!
Haya maisha haya!
Mwaka huu Yanga imefanikiwa kutinga ROBO FAINALICAF Confederation Cup.
Utapata kifafa cha mimba kwa kuiwaza SimbaKelele zote ulizokuwa unazisikia mwaka jana ilikuwa ni Confederation Cup.
ukisikia Sakho kashinda goli bora la CAF basi ujue alilipatia kwenye Confederation Cup.
Ukisikia sijui Simba timu ya kwanza kutumia VAR mechi na Orlando, hiyo mechi ni CAF Confederation Cup.
Mwaka huu Yanga imefanikiwa kutinga ROBO FAINALICAF Confederation Cup.
View attachment 2411866View attachment 2411867
.Alafu saa hizi wanaiita ligi ya walioshindwa!
Haya maisha haya!