Naomba kuuliza, mfano, square mita moja inahifadhi kuku wangapi, ili nitajua kama nikitaka kufuga kuku kadhaa nahitaji kujenga chumba cha ukubwa fulani.
Naomba kuuliza, mfano, square mita moja inahifadhi kuku wangapi, ili nitajua kama nikitaka kufuga kuku kadhaa nahitaji kujenga chumba cha ukubwa fulani.
Kuku wa Nyama - mpaka 10pc/1sqm
Layers/Kienyeji/Chotara - max 6pcs/1sqm
Zingatia;
Wakiwa na umri mdogo (DOC - 1 Week Chick) hata vifaranga 100 wanaweza kuenea kwenye eneo dogo la 2sqm.. Ila kadri umri utakavyoongezeka watahitaji eneo kubwa zaidi...