Ukubwa wa engine ya Gari una uhusiano gani na consumption ya mafuta

BATULUNGE

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2013
Posts
391
Reaction score
633
Wataalam naombe mnijuze ni kwann Suzuki carry yenye cc650 inatumia Lita 1kwa km14-16 , wakati huohuo ist yenye engine cc1500+ inatumia petrol Lita 1 kwa km 19-20?.
Mwanzo nilivyojua mm ni kwamba kadri ukubwa wa engine unapoongezeka ndivyo gari inavyokula zaidi mafuta.
 
Kabla ya kukujibu naomba nikuulize hizo takwimu zimetoka wapi?
 
Wataalam naombe mnijuze ni kwann Suzuki carry yenye cc650 inatumia Lita 1kwa km14-16 , wakati huohuo ist yenye engine cc1500+ inatumia petrol Lita 1 kwa km 19-20?.
Mwanzo nilivyojua mm ni kwamba kadri ukubwa wa engine unapoongezeka ndivyo gari inavyokula zaidi mafuta.

Kwa sasa hivi hakuna uhusiano tena lkn hii ni kwa Magari ya kisasa ila kwa magari ya kizamani kuna uhusiano mkubwa sana!
 
Na vingi ya vigari hivi vidogo vyenye cc ndogo na vinakula mafuta ni vigari vya kazi kwa mfano toyota cami ina injini sawa na ist yaani cc 1300 lakini inakula mafuta zaidi ya ist
 
Mifumo ya mafuta ya hizi gari ni tofauti. Pia suzuki carry ziko tofauti, hata zenyewe pia matumizi ya mafuta ni tofauti pia. Labda ungeainisha ni carry ya mfumo upi
 
Mtu anauliza vitu vingine wewe unajibu takataka ingine
Elimu yako ni ya kukariri ndo mana umeshindwa kuhusianisha hoja ya huyo jamaa..... Rpm ya engne inaweza changia gar kula mafuta mengi, gar inaweza kuwa katika rpm kubwa lakin bado ikawa katika speed ya kawaida hyo inategemea na setting ya transimission system...... Naomba niishie hapo
 
Wewe ndo unaelimu ndogo wapi mtoa mada amezungumzia ukanyagaji wa mafuta hapa au rpm ya engine ?
Yeye amezungumzia gari na maelezo toka kiwandani kuhusu ulaji wa mafuta wa hayo magari pimbi wewe
 
Wataalam naombe mnijuze ni kwann Suzuki carry yenye cc650 inatumia Lita 1kwa km14-16 , wakati huohuo ist yenye engine cc1500+ inatumia petrol Lita 1 kwa km 19-20?.
Mwanzo nilivyojua mm ni kwamba kadri ukubwa wa engine unapoongezeka ndivyo gari inavyokula zaidi mafuta.
Hauna uhusiano
 
elimu ya matumizi ya mafuta ni ndefu kidogo coz kuna mahesabu ya gear ratio./engine speed/weight/na cylinder volume formula permin. per km
Road condition, tyre type,tyre condition,driving behavior , engine condition ect ect
 
Wewe ndo unaelimu ndogo wapi mtoa mada amezungumzia ukanyagaji wa mafuta hapa au rpm ya engine ?
Yeye amezungumzia gari na maelezo toka kiwandani kuhusu ulaji wa mafuta wa hayo magari pimbi wewe
Tatizo lako ubongo wako umebanana sana. .... Setting za transimission system zmewekwa na hao manufacture so hapo concept ya rpm haikwepeki.... Engine zinaweza zikawa zinatoa rpm sawa lakini speed ya gar itategemea na ujuzi wa manufacture kuhamisha hiyo mechanical work kwenda kwenye tairi ikitokea kwenye gear box

Siku nyingine ukiwa kwenye mitandao hutakiwi kulazimisha kile unachokiamin inatakiwa uweke neutral ubongo wako ili kuingiza dhana mpya kama inamashiko usikimbilie kutukana mitusi tu wakat hujui huyo aloquote anaujuzi gani juu ya jambo analozungumzia
 
Back
Top Bottom