Kabla ya kukujibu naomba nikuulize hizo takwimu zimetoka wapi?Wataalam naombe mnijuze ni kwann Suzuki carry yenye cc650 inatumia Lita 1kwa km14-16 , wakati huohuo ist yenye engine cc1500+ inatumia petrol Lita 1 kwa km 19-20?.
Mwanzo nilivyojua mm ni kwamba kadri ukubwa wa engine unapoongezeka ndivyo gari inavyokula zaidi mafuta.
Wataalam naombe mnijuze ni kwann Suzuki carry yenye cc650 inatumia Lita 1kwa km14-16 , wakati huohuo ist yenye engine cc1500+ inatumia petrol Lita 1 kwa km 19-20?.
Mwanzo nilivyojua mm ni kwamba kadri ukubwa wa engine unapoongezeka ndivyo gari inavyokula zaidi mafuta.
elimu ya matumizi ya mafuta ni ndefu kidogo coz kuna mahesabu ya gear ratio./engine speed/weight/na cylinder volume formula permin. per kmKabla ya kukujibu naomba nikuulize hizo takwimu zimetoka wapi?
Mwaga shule tupate ilmu!msilaumu gari inakula mafuta wakati hamjajifunza kubalance rpm
Mwaga shule tupate ilmu!
rpm ndo nini
Leta mambo tunakusubiri Mkuu.Revolution per minute
Hahahaa, hata ilmu kitaa inatosha! Yaani zile story za vijiweni kila mtu anaelewa kila kitu!!vteti hatna mkuu
msilaumu gari inakula mafuta wakati hamjajifunza kubalance rpm
Elimu yako ni ya kukariri ndo mana umeshindwa kuhusianisha hoja ya huyo jamaa..... Rpm ya engne inaweza changia gar kula mafuta mengi, gar inaweza kuwa katika rpm kubwa lakin bado ikawa katika speed ya kawaida hyo inategemea na setting ya transimission system...... Naomba niishie hapoMtu anauliza vitu vingine wewe unajibu takataka ingine
Elimu yako ni ya kukariri ndo mana umeshindwa kuhusianisha hoja ya huyo jamaa..... Rpm ya engne inaweza changia gar kula mafuta mengi, gar inaweza kuwa katika rpm kubwa lakin bado ikawa katika speed ya kawaida hyo inategemea na setting ya transimission system...... Naomba niishie hapo
Hauna uhusianoWataalam naombe mnijuze ni kwann Suzuki carry yenye cc650 inatumia Lita 1kwa km14-16 , wakati huohuo ist yenye engine cc1500+ inatumia petrol Lita 1 kwa km 19-20?.
Mwanzo nilivyojua mm ni kwamba kadri ukubwa wa engine unapoongezeka ndivyo gari inavyokula zaidi mafuta.
Road condition, tyre type,tyre condition,driving behavior , engine condition ect ectelimu ya matumizi ya mafuta ni ndefu kidogo coz kuna mahesabu ya gear ratio./engine speed/weight/na cylinder volume formula permin. per km
Tatizo lako ubongo wako umebanana sana. .... Setting za transimission system zmewekwa na hao manufacture so hapo concept ya rpm haikwepeki.... Engine zinaweza zikawa zinatoa rpm sawa lakini speed ya gar itategemea na ujuzi wa manufacture kuhamisha hiyo mechanical work kwenda kwenye tairi ikitokea kwenye gear boxWewe ndo unaelimu ndogo wapi mtoa mada amezungumzia ukanyagaji wa mafuta hapa au rpm ya engine ?
Yeye amezungumzia gari na maelezo toka kiwandani kuhusu ulaji wa mafuta wa hayo magari pimbi wewe