ist ipi hiyo inatumia lita moja kwa 19km kama unayo niuzie nina m7
afu mambo yamebadilika sana siku hizi hatupaswi weka kanuni kabisa mfano gari yenye injin kubwa kuwa na nguvu kuliko yenye ndogo ...hivo vitu sa hvi hamna unaeza kuta gari ina injin ndogo natural aspirated but ikawa na nguvu kubwa kuliko injin nyingne ya same cc au zaid kidogo...
pia consumption inaweza kuwa tofaut kulingana na mfumo wa uingizaj mafuta na uchomaji mfano hivo virikuu sidhan kama kuna venye mfumo mpya wa direct injection ambapo ka gari kama vitz kanaweza kuwa na mfumo huo ...mfano mwengne chek gari ya cc2000 D4 inakuwa na consumption sawa gari ya cc 1400-1500 vvti ile ya cc 2000 ni kubwa but mfumo wa kisasa