nenda chuo chochote kizuri duniani utakuta huo ndio utaratibu.nimefanya masters yangu uk at coventry university. Hiki ni chuo ni miongoni mwa vyuo vikubwa duniani.nao pia uchukua watu wenye ufauru wa juu kuwa wakufunzi.nenda harvard, oxford, yale university, university of cape town nk..wote wanatumia huo utaratibu.sasa labda ww anzisha chuo tuone km utataka watu wa lower second na pass ndio wawe waalimi. Nakubali kuwa wapo watu wana lower class na hata pass japo wapo vizuri. Lakini tukumbuke kuwa the end does not justify the means. Km huyo mtu anajua madema ilibidi aoneshe hata kwenye vyeti vyake kuwa yuko vizuri.