Ukubwa wa kisanaa wa Justin Bieber ulisababishwa na nini? Je, kuna namna tu au kipaji?

Ukubwa wa kisanaa wa Justin Bieber ulisababishwa na nini? Je, kuna namna tu au kipaji?

ChizzoDrama

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2019
Posts
1,317
Reaction score
1,229
Najua ni wengi huwa tunajiuliza swali hili la kwanini Justin Bieber alikuwa anachukuliwa kwa ukubwa ule licha ya kuwapo pure talents kama Jason Derulo & Chris Brown ambao kimsingi hawagusi hao jamaa hata kuwa karibia tu.

Je, ni michezo ya kisiasa? (Polimusics (musics politics))

Maswali ni mengi naomba mwenye uelewa atujuze kunani behind Justin Beiber na kwanini amepotea now?

Karibuni.
 
Tatizo mvuto cuz wote wanaimba kitu ki1

N just alitangaza kupumzika kuimba mwanzo wa mwaka nahisi ndo vile alikua na depression n mambo ya ndoa yakaja ingia baadae lkn nahisi 2020 anarudi kuna rumors za new music.
 
Usimsahau Selena Gomez ambaye mwaka 2013 aliweka rekodi ya mtu aliyetafutwa zaidi Google na hata YouTube.

ChizzoDrama
Yesu ndo anashikilia rekodi ya habari zake kutafutwa Zaid Google, haijawah kuvunjwa hyo rekod na haitawah , wengne wanashikilia rekod kutokana na tasnia Yao mfano Raisi aliyetafutwa Zaid, mwanamziki, mwanamichezo n.k, but overall only Jesus christ
 
Tatizo mvuto cuz wote wanaimba kitu ki1

N just alitangaza kupumzika kuimba mwanzo wa mwaka nahisi ndo vile alikua na depression n mambo ya ndoa yakaja ingia baadae lkn nahisi 2020 anarudi kuna rumors za new music.
mvuto ? Kwamba kamzidi chriss mvutoo ee?
 
Kipaji, kuvutia mashabiki wengi pia ni kipaji, unaweza ukawa unaimba songi kali ila usiwe na mashabiki wengi.
 
Ua huchanua na kuvutia nyuki na wadudu mbalimbali..inafika muda lile ua husinyaa nyuki hulikimbia na wadudu wengine..
Huwezi kupendwa daima..Labda uache Legacy kwa jamii..Afanye hivo atabaki maarufu daima.
hilo halipingwi mzee , swali ni je kwanini alikua na ukubwa ule?
 
Kipaji, kuvutia mashabiki wengi pia ni kipaji, unaweza ukawa unaimba songi kali ila usiwe na mashabiki wengi.
Mvuto ni kipaji? Ebu nifafanulie kidogo umeniacha hapo
 
  • Thanks
Reactions: aub
Usimsahau Selena Gomez ambaye mwaka 2013 aliweka rekodi ya mtu aliyetafutwa zaidi Google na hata YouTube.

ChizzoDrama
kweli hilo poa wengi tuna jiuliza nadhani kuna namna haya mambo yana pangwa?

Mfano hilo la Selena Gomez Instagram wenyewe walifanya namna ingawa kwa sasa siyo namba moja
Amezidiwa na christiano ronaldo , Ariana grande na wengine
 
Back
Top Bottom