ChizzoDrama
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 1,317
- 1,229
Yesu ndo anashikilia rekodi ya habari zake kutafutwa Zaid Google, haijawah kuvunjwa hyo rekod na haitawah , wengne wanashikilia rekod kutokana na tasnia Yao mfano Raisi aliyetafutwa Zaid, mwanamziki, mwanamichezo n.k, but overall only Jesus christUsimsahau Selena Gomez ambaye mwaka 2013 aliweka rekodi ya mtu aliyetafutwa zaidi Google na hata YouTube.
ChizzoDrama
Kweli,,ata Instagram yupo juu kwa kuwa na followers weng.Usimsahau Selena Gomez ambaye mwaka 2013 aliweka rekodi ya mtu aliyetafutwa zaidi Google na hata YouTube.
ChizzoDrama
mvuto ? Kwamba kamzidi chriss mvutoo ee?Tatizo mvuto cuz wote wanaimba kitu ki1
N just alitangaza kupumzika kuimba mwanzo wa mwaka nahisi ndo vile alikua na depression n mambo ya ndoa yakaja ingia baadae lkn nahisi 2020 anarudi kuna rumors za new music.
sasa yesu katokea wapi ndugu yangu?Yesu ndo anashikilia rekodi ya habari zake kutafutwa Zaid Google, haijawah kuvunjwa hyo rekod na haitawah , wengne wanashikilia rekod kutokana na tasnia Yao mfano Raisi aliyetafutwa Zaid, mwanamziki, mwanamichezo n.k, but overall only Jesus christ
hilo halipingwi mzee , swali ni je kwanini alikua na ukubwa ule?Ua huchanua na kuvutia nyuki na wadudu mbalimbali..inafika muda lile ua husinyaa nyuki hulikimbia na wadudu wengine..
Huwezi kupendwa daima..Labda uache Legacy kwa jamii..Afanye hivo atabaki maarufu daima.
Mvuto ni kipaji? Ebu nifafanulie kidogo umeniacha hapoKipaji, kuvutia mashabiki wengi pia ni kipaji, unaweza ukawa unaimba songi kali ila usiwe na mashabiki wengi.
Kama humjui beiber cjui nikuweke kundi lipiNdio nani huyo kijana
Cha ajabu mimi sijui wimbo wake hata mmojaKweli,,ata Instagram yupo juu kwa kuwa na followers weng.
kweli hilo poa wengi tuna jiuliza nadhani kuna namna haya mambo yana pangwa?Usimsahau Selena Gomez ambaye mwaka 2013 aliweka rekodi ya mtu aliyetafutwa zaidi Google na hata YouTube.
ChizzoDrama
labda aisee maanaWaswahili wanasema *nyota*
Alishapitwa na CR7 mda mrefuKweli,,ata Instagram yupo juu kwa kuwa na followers weng.