Ukubwa wa kisanaa wa Justin Bieber ulisababishwa na nini? Je, kuna namna tu au kipaji?

Yesu ndo anashikilia rekodi ya habari zake kutafutwa Zaid Google, haijawah kuvunjwa hyo rekod na haitawah , wengne wanashikilia rekod kutokana na tasnia Yao mfano Raisi aliyetafutwa Zaid, mwanamziki, mwanamichezo n.k, but overall only Jesus christ
Uachage uongo mkuu
 
Huyu dogo ile video yake ya baby ina views milio 10 na dislike milion 10😂😂
 
Darling..!!!😦😦
 
BABY NDO NGOMA YENYE DISLIKE NYINGI ZAIDI YOUTUBE. MANAGEMENT INAYOMSIMAMIA PIA INAJUA KUFANYA KAZI.
 
JB, alitoka akiwa Teen, na fans wa mziki ma craxy dunia nziam wanakuwaga ni teens, sasa wakirelate nae, huyo mtu anakuwa mkubwa sana. sasa as he grows, wale die hard fans wake nao wanagrow, ndo hapo uwezo wake wa kubaki relevant kwenye game, kwa kuhamasisha generation mpya ya teen wapya inapohitajika. sasa ukishindwa basi unapotea
 
Kipaji, kuvutia mashabiki wengi pia ni kipaji, unaweza ukawa unaimba songi kali ila usiwe na mashabiki wengi.
Ni kama barnaba nahisi ananyota ya punda yule
 
Kweli,,ata Instagram yupo juu kwa kuwa na followers weng.

Sio kweli kuna kipindi aliwai ongoza akajitoa Ig kwa muda akaacha gap kubwa apo now Cr 7 ndo anashikilia kwa kua na followerz weng , lakini pia Taylor, beyonce, serena gomez hawa ndo wanashikilia rekodi ya kuwa na followerz wengi kwa sasa then dogo ndo ananyemelea kwa nyuma apo

Tukijikita kwenye mada mi nais dogo kilicho mbeba ni umri wake kwanza utofauti wa sauti yake na wengine ukiskiliza dogo anasauti flani ndogo yaani nyembamba inayopenya vzr maskioni then mwisho Management alipata nzuri iliyoweza kutengeneza funbase kubwa na die hard funs kunakipindi nlikua nkiingia Ig yake upande wa Comment watoto wa kike wanafunguka kumtaka kimapenzi
 
Umri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…