Ukubwa wa klabu ya simba Tanzania

Simba ya sasa ni sawa na tajiri aliyefulia. Kila mara ( huyo tajiri aliyefulia) anapenda kuwaelezea watu mafanikio aliyowahi kuwa nayo: nilikuwa wa kwanza kujenga ghorofa sita kariakoo, kununua benz etc.

Yote kwa yote tunajua kwamba simba mwaka huu imefulia- siyo cafcl, asfc, nbcpl, mapinduzi cup, au community shield.
 
Vichaka vyote mlivyokuwa mnachutama Yanga kavifyeka vyote.
 
jifunze kuzoea maumivu ya soka,si ajabu yanga akashinda hata kombe la klabu bingwa afrika mwakani sijui itakuwaje?
 
Mkuu napataje hii
Taarifa unayo kwenye work kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…