Kuna kila dalili kuwa kiwango cha maambukizi ya virusi vya corona duniani ni kikubwa kuliko hiki tunachokisia.
kwasababu ama za kiuchumi ama za kisiasa ama za kijamii mataifa ama yanaficha taarifa za maambukizi au yanaripoti takwimu ndogo sana za maambukizi kwenye nchi zao. Hii inasababisha kiwango halisi cha tatizo kutofahamika. Hali hii inaweza kusababisha maafa makubwa kwa dunia na dunia pia kushindwa kupambana na shida hii kikamilifu. Maana mficha maradhi kifo kitamuumbua.
Ni heri kila mtu akajua ukumbwa wa tatizo ili aweze kuchukuwa hatua ya kukabiliana nalo kwa njia tofautitofauti. Nchi zisifiche, kupunguza wala kuongeza takwimu za ugonjwa huu kwasababu zozote zile.
false hope, unaweza usife lakini ukaathirika kutokana na umuhimu wa waliokufa kwako. Nimewasikia watu wetu weusi wakilalamika kuwa watoto wao wako huko, watalii hawaji, stock zao za bidhaa madukani zimekwisha. Bila shaka sio ajabu ngozi nyeusi ikakosa hata dawa za malaria, Ukimwi, na zile za kutibu mifugo. Hivyo utakuwa unakufa kwa corona indirectly.Usiwe na wasiwasi kuhusu ngozi nyeusi mpaka saa hivi hakuna mtu aliyekufa kutokana na huu ugonjwa,
Ulishaona wapi mwafrica anafariki kwa ugonjwa wa mafua [emoji124][emoji124]
Usiwe na wasiwasi kuhusu ngozi nyeusi mpaka saa hivi hakuna mtu aliyekufa kutokana na huu ugonjwa,
Ulishaona wapi mwafrica anafariki kwa ugonjwa wa mafua [emoji124][emoji124]