Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7

Mmh huyu anatangaza biashara ya mganga huyo jamani au hamjaelewa
 
Ukitaka kuteseka maishani amini uchawi na ogopa uchawi! Utaishi maisha ya kindezi sana!
 
Pumbavu sana we ni shetani wa kike, kuanzia leo siruhusu kilaza yeyote wa kike anifute na kitambaa au kuchukua ndomu ambayo nilimwagia goli langu humo, never ever, aaaaagh!
Hakikisha baada ya tendo anaoga na kujikamua vilivyo la sivyo ukamuacha aondoke zake zinadondokea kwenye chupi na atafanikiwa kuzivuna tu kwa kazi ya kiganga
 
Ukitaka kuteseka maishani amini uchawi na ogopa uchawi! Utaishi maisha ya kindezi sana!
Huwezi kimbia bila kufukuzwa labda sababu zako binafsi....hujarogwa bado, ukishaingia kwenye ombwe la mchawi utaelewa kwa nini watu wanaamini na kuogopa uchawi.
 
Kwa hiyo wewe mwanamke/mwanaume wa kichawi kuweka mambo ya private hadharani ili iweje sasa?? yaan yako unayaona ya afadhali kuliko huyo aliyekushauri utubu na kumrudia Muumba wako??

Mods hamjaona haya mambo mkampa huyu mchawi a life ban??

Hakika wewe hufai kuwekwa hata katika kundi la nyoka.
 
Mweleze mmeo kuwa we ndio imemsababishia ili mtubu wrote dhambi mtakasike na muutafute USO wa mungu baada ya hapo katika maombi katika roho na kweli mungu atamfungua.... Tiba hiyo mungu pekee abmnaweza ,mganga hakuna anachokifunga mungu ashindwe.
 
Sasa hii Kali, umesema kila aliyejaribu kutoa msaada anafariki, da unataka sasa na JF members tunaojaribu kukusaidia kimawazo pia tufariki??. Hapa humpati MTU, fariki mwenyewe.
 
Halafu hii mambo ya kuchukua PM za mtu na kuzimwaga hapa si ni kosa hili na unastahili BAN kabisa

cc:
Mhariri
Invisible
 
Napenda sana story hii imenishinda kuimaliza aliyeimaliza aniambie tu japo kwa uchache
 
uongo wa kupindukia
 
Dada angu njoo kwenye Huduma/Maombi ya simba wa Yuda utapona kabsa. Na ww hutasemehewa dhambi zako kama ukitubu kwa kudhamilia kabsa kutoka Moyon Mungu ni mw3nye Upendo sana. Hakuna kitu kigumu kwa Mungu. Kama upo Serious njoo inbox
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…