Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7

Siamini kama nguvu ya Mungu itashindwa kusaidia uponyaji wenu,nendeni kanisani kisha mtubu then Mungu atawafungua
 
Baadae Yule bibi akamkabidhi mganga ule mti halafu akachukuliwa nyoka ambae ameuwawa akachanganywa kwenye ile damu ilyo kuwa kwenye chungu pamoja na dawa kisha vikachemshwa mpaka vikawa jivu.


(Siku hizi vitu vikichemshwa sana vinakuwa jivu ee)
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] vinechemshwa na kuwa jivu

121.
 
Hii Habari hapa ililetwa kama tangazo ili kupiga watu. Kuna jamaa mmoja humu ndani ambaye ni tapeli na ameliza watu wengi sana. Kuna kipindi walimjadili hapa jamvini. Ukiingia kwenye mtego umeliwa
 
Aisee hebu weka namba za huyo Mganga wako!. make October sio mbalii
 
Tapeli wewe, uzuri jamiiforum siki hizi watu wanajitambua sana

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Ivi kwenye comment za wanazengo mwenye uzi amechangia chochote kweli?
 
Huo uchawi wa namna hiyo haupo wewe lipia tangazo tu ulilotangaza kiujanja
 
Kweli mwanamme ni mwanamme tu yaani operation ya kumtia uhanithi ni ndefu kuliko ile ya navy seal kwenda kumuua Osama
 

Biashara imeisha. Wote wawili mmevuna mlichopanda. Acha kupoteza gharama tena na kuuwa waganga wengine wasio na kosa. Ishi maisha yenu kama wote ni mahanithi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…