Ukubwa wa Rayvanny ni funzo kwa Harmonize

Kigoma Independent

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
3,519
Reaction score
2,055
Habari Tena Wana JF:

Naona harmonize anajitapa sana na kutaka kuuaminisha umankuwa yeye ninmkubwa kwa Rayvanny.

Wayback wote walikuwa WCB na Rayvanny alivhukua BET harmonize akiwa WCB he , harmonize alikuwa sio mkubwa...?, Na Kama ndio means Rayvanny alikuwa tayari mkubwa than harmonize.

Hela Rayvanny Yuko juu na hii unatokana na expense ya Rayvanny kuwa juu baada ya Diamond platinumz maana kanunua Lamborghini south Africa na hii inaleta taswira kuwa humbleness is the best answer.

Harmonize asione haya kuomba msaada kwa RayVanny maana hata bedroom katungiwa na Rayvanny ko Rayvanny tumpe heshima Kama msanii namba mbili East Africa.

Mwisho kabisa.: NUMBERS DON'T LIE DIGITAL PLATFORMS ZINAONGEA
 
Usimfananishe mkinga na mambo ya kijinga. Boy is a singer, hata Huyo Diamond wenu anatambua hilo. Inabidi tu aachane na na hizi Kiki za kishamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…