Ukubwa wa Rayvanny ni funzo kwa Harmonize

Dalili Kuwa Jobless Ndo Hii
 
Rayvan barozi wa brand gani!?
Nitajie. Maana sijawahi kumsikia hata akitangaza chupi za Nandy.
 
👉Hamonizer ni msanii pekee Afrika Mashariki na kati aliyeweza kumleta Awilo Longomba nchini kwake na kumgharamia kwa kila kitu

👉unaambiwa Hamonizer alikuwa akimlipa Awilo dola za kimarekani 250,000 kwa siku sawa na zaidi ya milioni mia tano.🤣🐒
 
Sijui ni mimi tu au kuna mwingine, mtu ambaye ajitapa ana maisha mazuri halafu bado anaishi kwao, anagombea ugali na wadogo zake hua namuona kama amechanganyikiwa,

Mwambie huyo mfuga tambi kama yeye ameshakua mkubwa atoke hapo kwa baba ake wa kambo akajitegemee, wenzie sote tuliacha kula ugali wa shikamoo tunapambana na maisha ya mtaani.
 
Usimfananishe mkinga na mambo ya kijinga. Boy is a singer, hata Huyo Diamond wenu anatambua hilo. Inabidi tu aachane na na hizi Kiki za kishamba.
rayvanny na ukinga wapi na wapi?
 
rayvanny na ukinga wapi na wapi?


Kumbe ni Mnyakyusa? Mimi nilikaa Jacaranda pale Mbeya kwa mwaka mzima. Kipindi hicho Mbeya kulikuwa kutamu we acha tu, sijui nikienda pele tena kama watu watanikumbuka.
 
Umenena vyema
 
Mo Dewji mpaka leo anaishi kwao.
 
Usenge huu sijawai sikia, Paris Awilo anacheza bar kwa dola 200 mpaka sasa.
Kanda bongo Man tulimnunulia nyama choma tu akakata mauno usiku kucha.
Mzee wa inde Monie anasafisha vioo huko Manchester kwa mabeberu Shell
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…