Ukufunzi wa Vyuo vya Walimu vya Diploma na Certificate

Kikwava

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
1,741
Reaction score
1,068
Mtaala mpya unapendekeza Walimu wa vyuo vya Kati vya ualimu wawe na shahada ya Pili (master degree) ya Elimu je utekelezaji wake umeshaanza?

Je wale ambao wapo mpaka Sasa vyuoni na hawana sifa hzo utaratibu wake upoje? Je mwl akiwa na sifa hzo tajwa ili ajiunge kwenye vyuo hivyo utaratibu wake upoje.

NAOMBA MWENYE UELEWA ATUPE ELIMU KIDOGO NA KUTUPA MWANGA ZAIDI
 
Maana yake warudi shule wakaongeze elimu.Ushindani wa sasa wa kielimu,utabakije na kiwango kidogo cha elimu kazini kwa muda mrefu.Ukiona kila mtu anahangaika na kuongeza kiwango chake cha elimu pamoja na majukumu mazito waliyonayo,jua yajayo yanafurahisha...!Hivyo ni kujiongeza na kutengeneza defence either ya ajira,heshima,mshahara...!
 
Upo sahh kabisa Comrade, Elimu ndogo ni sumu
 
Hapo kwenye kurudi shule hapo ndo balaa
 
Shukran sana kwa ufafanuzi na kutupa Elimu
 
Kwa nyongeza, mabadiriko hayo ni expected kabisa, inawezakanaje mkufunzi kuwa na degree pekee??
Nchi za wenzetu mkufunzi anapaswa kuwa na elimu ya ufundishaji zaid ya degree yak.
Unamfundisha mwanachuo namna ya kuandaa lesson plan akati wewe mwenyewe ni graduate wa accountant.
Wewe uliona wapi!?
 
Kabisa kujiendeleza ni muhimu hata kama utachelewa kupata manufaa ila lazima utayapata tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…