beibishaa Member Joined Apr 9, 2020 Posts 21 Reaction score 34 Sep 23, 2024 #1 Tunakodisha eneo la wazi la kufanyia shughuli mbali mbali kama sherehe, maafali, kipaimara nakadhalika... karibuni sana Kwa mawasiliano piga; 0684101707View attachment 3104043View attachment 3104044View attachment 3104045
Tunakodisha eneo la wazi la kufanyia shughuli mbali mbali kama sherehe, maafali, kipaimara nakadhalika... karibuni sana Kwa mawasiliano piga; 0684101707View attachment 3104043View attachment 3104044View attachment 3104045
Makorokoro Bondeni JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 1,300 Reaction score 1,969 Sep 23, 2024 #2 Hapo ndiyo ukumbini au kibarazani?
dingihimself JF-Expert Member Joined Jan 9, 2016 Posts 9,702 Reaction score 20,134 Sep 23, 2024 #3 Kinyerezi kubwa sema ni sehemu gani hasa na jaribu kuongeza picha za eneo husika. Sio unaepiga picha kama mwizi
Kinyerezi kubwa sema ni sehemu gani hasa na jaribu kuongeza picha za eneo husika. Sio unaepiga picha kama mwizi