Kwani disco lazima iwe mawingu club jamani. Hapakuridhishi timua. Wateja siku zote ndio wanaoentertain huduma mbovu. Hebu watu wasiende disco hapo kama hawatapatengeneza fasta fasta.
Hawa wahusika wa hii club wamekuwa kwenye entertainment business for decades. Lakini cha ajabu mpaka leo bado hawajui (au hawataki) kwenda na wakati kwenye fani ya entertainment industry.
Yaani wanathubutu kuita lile godauni ndio ukumbi wa disco. Zaidi ya maandishi makuuuubwa nje yanayotambulisha disco lao, hamna kingine chochote cha maana kinachotoa sifa ya kuitwa club ya disco. Ukiingia ndani hamna manjonjo yoyote ya maana yanayokufanya ujisikie uko club. Kule ndani kuko kama godauni lenye bar na maspika kila kona.
Hebu tuweni serious kidogo kwenye mambo ya quality and stuff.
kweli mwanamke.......
Kwani disco lazima iwe mawingu club jamani. Hapakuridhishi timua. Wateja siku zote ndio wanaoentertain huduma mbovu. Hebu watu wasiende disco hapo kama hawatapatengeneza fasta fasta.
Sawa mama! Lakini sidhani kama kuna wateja wa maana wanakwenda pale tena. Ukiingia mle ndani unaweza kuogopa kwa kudhani kila mtu mle ndani ana panga kiunoni (if you know what I mean)...lol! Ukifika Arusha ukauliza club mzuri, nakuhakikishia Mawingu haitatajwa. Cha kushangaza ni kwamba hii club pengine ni club kongwe pale mjini. Kwa hiyo nilikuwa nategemea watajidhatiti na kwenda na wakati.
Oh well, I guess bado tunaendeleza ule ule mfumo wa mwaka 47...ili mradi wateja wanakuja basi kwa nini tuiingie gharama za uboreshaji...!!! It's absolutely a shame.
huchoki nifatafata, sijui nimekukosea nini wee nyani.
huchoki nifatafata, sijui nimekukosea nini wee nyani.
Mama mpe penzi huyo Nyani atulie!!! I cant imagine Nyani bila demu....
Hujanikosea kitu.....wewe nipe tu na kila kitu kitakuwa mswano
Mama mpe radhi huyo Nyani akote makopo na atembee bila nguo!!! I cant imagine Nyani kuwa kwenye utupu wake mitaani....
Si ungesema sasa, domo zito kama nyani. Haya anza kunawa na uendelee kunawa hadi baadae
Cool....sasa utanipa baadae...?
Hapana, we nawa tu na uendelee kunawa hadi baadae. Halafu ukome kuniandikia hizi habari kwenye thread za watu, nilishakuambia na inaonekana wewe ni mgumu kuelewa na mwepesi kusahau kuwa waweza niachia visitor message. BS.
Visitor message wapambe na wachawi wengi....vipi PM?
utajiju nyani wewe, NO PM, only visitor message.