650
Member
- Jun 6, 2024
- 87
- 207
Alitokea mzee mmoja na mwanae walikuwa wanasafir kwa kutumia punda so wakaamua kupanda wote kwenye huyo punda.
Wakiwa njian wakakutan na kundi la watu likawaambia watu gan nyie msiokuwa na huruma yaan nyote wawil mnapanda kwenye punda mmoja .
So mzee akaona isiwe kec wala nn akashuka akamwacha mwanae juu ya punda.
Wakakutana na kund la pili wakaanza kumsema yule janja yaan mtoto gan ww usiye na huruma unamwacha mzee wako anatembea hal yakuwa ww umekaa juu ya punda unastareh,
Dogo akasema isiwe kes akashuka mzee akapanda, mbele wakakutana na kund la tatu ambalo nao wakaanza kumcharazia yule mzee kwamba, baba gan asiyena huruma yaan unamwacha mwanao anatembea ww umestarehe.
So wakasema isiw kec wote wakawa wanatembea huku punda wamemshika wakakutana na kund la nne wakawaambia hakuna watu wajinga kama nyinyi, yaan mnapunda alaf mnatembea kwa miguu.
Mafunzo: Focus na kile ulichokipanga kukifanya na sio kila ushaur ni wakuufanyia kazi, mwengine ni wakuusikiliza na kuachana nao.