Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
Wakuu kwema?
Ukurasa wa X wa Tanganyika Law Society wameweka tangazo kuwa zoezi la kupiga kura limekamilika watu wanasubiri matokeo sawa.
Pia soma: Uchaguzi wa Rais TLS: Karatasi za kupigia kura zimeisha, mawakili wanasubiri karatasi nyingine ziletwe ili zoezi liendelee
Wakati upande mwingine unasema karatasi za kupigia kura ziliisha tangu saa tano, na hivyo kulazimika mawakili kusubiri karatasi nyingine zichapiswe ili zoezi la kupiga kura liendelee!
Je, ukweli ni upi?
Pia soma: Uchaguzi wa Rais TLS: Nani kuibuka kidedea Urais TLS 2024?
Hii mbona inaenda kuwa kama chaguzi kuu za Rais wa Tanzania na wanachama wa CCM kukamatwa na maboksi ya kura zilizopigwa?
Wacha tuendelee kunywa supu nyama tutazikuta chini!