UKUTA UNAMBANDUKA RANGI

UKUTA UNAMBANDUKA RANGI

upeo

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2013
Posts
369
Reaction score
218
Wakuu habarini

Ninatatizao la ukuta wangu mara kwa mara unabanduka banduka rangi,
Kama picha inavyo iyona hapo, tatizo liliianza kwamba niliinunuwa nyumba tayari ishapigwa plasta, , nikaamua kupiga skiming na baadae nikapiga rangi,baadae kuna mtu aliniambia kwamba usingepiga skiming ungepiga rangi moja kwa moja , kwni ukuta wako umepigwa plaster ndio maana rangi haikai je wa kuu kwa hali hiyo nini cha kufanya kila baada ya muda rangi inabaduka nini cha kufanya wakuu naomba msaada shukran
 

Attachments

  • IMG_20241228_112224.jpg
    IMG_20241228_112224.jpg
    529 KB · Views: 14
Mkuu nafkiri hii inatokana na magaidi inapanda kutoka ardhini au tofali zilizojengewa na maji yaliyo tumika kwenye ujenzi concentration ya magadi ni kubwa, nyumba nyingi zilizotumia wall putting zinabanduka tofauti na zilizotumia chokaa, kwa ushauri chokaa ni better kuliko wall putting.

NB: mm sio fundi hata nyumba yangu inabanduka kama yako.
 
Back
Top Bottom