Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Siku kama ya leo tarehe 9 November 1990 Ukuta wa Berlin uliangushwa.
Picha hiyo hapo chini nilipiga kama kumbukumbu yangu ya Ukuta wa Berlin nilipofika Berlin pale ulipokuwapo ukuta huo maarufu uliokuwa ukifahamika kama Berlin Wall.
Picha hiyo ya sanamu ya watu waliobeba sanduku niliikuta karibu na kituo cha treni Berlin na pameandikwa kuwa ni kumbukumbu ya kuwakumbuka watu waliokuwa katika hekaheka ya kusafirishwa huku na huko kwa tabu na dhiki kubwa wakati wa Vita Vya Pili Vya Dunia.
Picha hiyo nyingine ilikuwa ndani ya bustani ndogo karibu na mtaa niliokuwa nikiishi Berlin na kila asubuhi nikienda ofisini kwangu na kurudi jioni nikipita ndani ya bustani hiyo nikipenda kuiangalia na kilichokuwa kinanivutia ni huyo mpiga piano.