Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Kwamba zitashindwa kubeba linta au Paa??Hizi nyumba mpya za tofali za bloku mbona kama zina kuta nyembamba sana? Zinaweza kuhimili uzito wa nyumba na mikiki mikiki ya hali ya hewa? Standard inataka ukuta wa nje wa nyumba uwe na unene kiasi gani?
View attachment 2878626
Kuhimili misukosuko. Upepo mkali, matetemekon ya wastani, nguvu ya maji, insulation, uvamizi nk. Standard zinasema ukuta uwe na unene kiasi gani?Kwamba zitashindwa kubeba linta au Paa??
Au wasiwasi wako ni nini labda?
Sababu ule Msuko wa Tofali na Mota strength yake Kwa Paa la kawaida lenye mabati na mbao tu mbona linabebwa vizuri tu mkuu?
Tofali 5" au 6"Kuhimili misukosuko. Upepo mkali, matetemekon ya wastani, nguvu ya maji, insulation, uvamizi nk. Standard zinasema ukuta uwe na unene kiasi gani?
Jibu mujarabuTofali 5" au 6"
Plaster nje 2''
Plaster ndani 2"
Unapata upana 9 au 10"
BTW uimara kuhimili mikikimikiki sio ukuta tu.
Hizo ni standard toka kaleUnaijua tofal ya kuchoma? Mbona znabeba paa somtmes zilzoenda juu kulko za bloks
Plaster ya inchi 2 unene wake ni sawa na unene wa mbao ya 2x2...nchi 2 haifki mkuu, hiyo itakuwa sio plaster tena. Hiyo nchi 2 ya ndani na nje ukiunganisha unapata tofali la nchi 4 (100mm)Tofali 5" au 6"
Plaster nje 2''
Plaster ndani 2"
Unapata upana 9 au 10"
BTW uimara kuhimili mikikimikiki sio ukuta tu.
Plaster ya inchi 2 unene wake ni sawa na unene wa mbao ya 2x2...nchi 2 haifki mkuu, hiyo itakuwa sio plaster tena. Hiyo nchi 2 ya ndani na nje ukiunganisha unapata tofali la nchi 4 (100mm)
Zipo mkuu, mara nyingi zinatumika kwenye kuta za coping au partition..kwenye hizi nyumba za kuficha paa, kuna ile kozi ya mwisho kabisa ambayo tofali zake huwa zinalazwa (ile ndio coping)Hivi kuna tofali hadi 4 inch?