Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
Wakuu
Miaka ya nyuma(si zamani sana) nchi ya Ujerumani ilikua imejengwa ukuta uliokuwa ukiigawa katika pande mbili yaani Ujerumani Mashariki na Ujerumani Magharibi, na mara baada ya kujenga ukuta huu zilikua ni nchi mbili tofauti kabisa kila moja ikiwa na mfumo wake wa utawala.
Miaka ya hivi karibuni ukuta huu ulibomolewa na kuifanya Ujerumani kurudi tena kuwa moja baada ya miaka mingi ya mgawanyiko wake.
Kuna mtu yeyote anaweza kufahamu undani wa kwa nini ukuta huu ulijengwa??
Mfumo wa utawala wa pande hizi mbili baada ya kujenga ukuta ulikuaje??
Siasa za Ulaya na Marekani kwa wakati huo ziathiriwa vipi na utengeno huu hasa ukizingatia Ujerumani ya Hitler ilikua na uadui
mkubwa sana na mataifa Mengi ya Ulaya na Marekani hasa Uingereza na Ufaransa??
Nini kilipelekea ukuta huu kubomolewa na kuirudisha Ujerumani kuwa moja bila kuwepo mikwaruzano yoyote ya kiutawala na kimadaraka mpaka sasa??
Nani aliyekuwa nyuma ya pazia ya mgawanyiko huu wa Ujerumani.
Nawasilisha
cc The Emperor, Udadisi, TIGOPESA