UKUTA

UKUTA

Wewe nae kumbe unajua kusoma na kuandika au umeandikiwa na mdogo wako?
 
Baada ya Tarehe 1 ukimpigia simu rafiki yako na kumwambia sema "PIPOOOZ"....badala yake anasema "FILIPOOO!" Ujue huyo tayari ana Mapengo ya Uzalendo! .

Kile Kirungu cha FFU ni cha kuona kwenye YouTube na kukiacha[emoji23][emoji23][emoji23]
 
U. Ukitaka
K .Kuvunjwa
U .Uti wa mgongo
T .Tarehe moja
A .Andamana

[emoji121][emoji121][emoji121]

September 1 is coming. My brother I will be next to you in the front line.
Mie naomba sana September mosi ifike tujionee uzalendo wa baadhi yetu!
Polisi nao wana usongo kinoumaah.
Ila nashangaa Zanzibar wamejitenga na UKUTA
 
Baada ya Tarehe 1 ukimpigia simu rafiki yako na kumwambia sema "PIPOOOZ"....badala yake anasema "FILIPOOO!" Ujue huyo tayari ana Mapengo ya Uzalendo! .

Kile Kirungu cha FFU ni cha kuona kwenye YouTube na kukiacha[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwi kwi kwi, aiseeee jf
 
Back
Top Bottom