Ukute pole pole ndiye kigogo 2014. Nimewaza tu

Wakuu leo nimewaza tu. Ukute kigogo ni huyu pole pole.
Uzi tayari
oktoba tunatoka
No reforms no election kataa wahuni
Ukimsikiliza Polepole utagundua Kigogo ni jk maana polepole anasema jamaa alikuwa anamhujumu yaani habari za serikalini zinamagwa ovyo ili magu aonekane hafai. Pia kumbuka ile ishu ya kuongeza muda wa kukaa madarakani jk alijaribu kumchonganisha na wananchi, pia kumbuka pale kwenye msiba wa magu jk alisema habari za kwamba magu kafa aliziona kwa bwana yule aka kigogo. Nadhani hata wakina Lisu hapa jk aliwatumia bila wao kujua hata muhusika wa shambulio la Lisu ipo namna jamaa alitoa ushahuri lengo ni magu aonekane hafai.
 
Kigogo umfahamu mpaka leo?

Kigogo ni account iliyoendeshwa na watu 3

Makamba, Nape na Ridhiwani Kikwete!!
Ooh kumbe kwa hiyo sasa hivi kwa maana wame palanganyika ina endeshwa na nani..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…