January ndiye aliyefungua na kuendesha akaunti ya twitter ya Magufuli na hata akaunti ya Samia Suluhu. Mnapopewa pole au pongezi, basi meneja muandishi ni JanuariKigogo umfahamu mpaka leo?
Kigogo ni account iliyoendeshwa na watu 3
Makamba, Nape na Ridhiwani Kikwete!!
Mbona hiyo AKAUNT inawapiga sana spana Nape na MakambaNa kwenye akaunti ya Samia Suluhu, inayofuata akaunti 27, ndugu Makamba na Nape na Zitto Kabwe ndio watu wa kawaida (wasio viongozi) waliofuatwa. Sasa unaona kabisa SSH kama Rais angewafollow hao ili iwaje? Unapata majibu kuwa hao ndio waendeshaji wenyewe wa akaunti hizo😃😄
Ili kujenga mawazo kama haya, kuwa akaunti hiyo haiwahusu wao. Yaani wanatupoteza maboyaMbona hiyo AKAUNT inawapiga sana spana Nape na Makamba
Yah inawezekana kabisa ,Ili kujenga mawazo kama haya, kuwa akaunti hiyo haiwahusu wao. Yaani wanatupoteza maboya