Wakuu nilikua najiuliza inakuwaje unakuta mtu ni Mbunge halafu hapo hapo ni mkuu wa Mkoa? Je kati ya watu million 40 hamna mtu mwenye uwezo wa kushika cheo komojawapo? Je inakuaje kuhusu haya
Je analipwa mara ngapi? Anachukua mshahara wa kibunge na hapo hapo wa ukuu wa mkoa?
Je anatenganisha vipi kazi za kibunge na za ukuu wa mkoa?
Kama bunge linapitisha maamuzi yanayohusu mkoa wake atasimama upande gani? Conflict of Interest hapo.
Je akisafiri kutoka jimboni au mkoani kwenda mkoani au jimboni anatumia rasilimali zipi? Anawezaje kutofautisha?
Je kazi za kibunge na za kimkoa anazifanyaje?
Je wakati wa kipindi cha bunge na anatakiwa pia afanye kazi za ukuu wa mkoa, je anazigawaje?
PCCB wana msimamo gani kuhusu ajira mbili?
Je Employment and Labour Act inasemaje kuhusu ajira mbili kwa wakati mmoka?
Je anawaongozaje wananchi wanaotoka jimboni kwake wanaoishi mkoani kwake?
Je anawaongozaje wanaotoka mkoani kwake wanaoishi jimboni mwake?
Naomba tuchangine mjadala kwa nguvu za hoja