utapeli gani sasa wakati unaambiwa nunua bidhaa ukauze kwa faida?!! kupata kamisheni kubwa ni usuguaji wa soli yako tu, ukishinda unacharanga mitaa maofisini, au unaconvice rafiki zako wa fb kununua bidhaa huenda ukafanikiwa, mimi huwa naona ni upotevu wa muda tu, wanaojua marketing za mifumo ya piramidi wanaelewa kuwa daima wenye kufaidika ni wale wa mwanzo, kadri inavokuwa wale wa juu kazi inazidi kuwa ngumu na wanawafanyia kazi wale wa chini tu, bora hata ushike jembe ukapande mchicha utakulipa haraka!
Ntumie namba yako pm nikutumie clip usikilze 4br yao kupitia whatsap
umenena ILA nakupinga kwmba Ni upotevu WA muda option ya kufanikiwa kwny hii Ni kuwahi km ulivyosema Ina maana kadri unavyozid kuchelewa na nafasi ya kufanikiwa ndyo inavyozid kuwa ndogo km mleta mada unamuona bado anajiuliza wakat watu wanatengeneza pesa muda huu isitoshe network marketing zinaibuka kila siku kikubwa ninachokubal kubali khs network marketing ukitaka kufanikiwa Ni wewe mwenyewe na spidi zako
Hello mimi ni active member ya hii biashara ya nimeanza miezi michache iliyo pita
Ukweli ni kwamba watu wengi hawana mtazamo sahihi kuhusu network business na humu utaona wanaongea sana bila kuwa na ujuzi wowote
But biashara hii ni nzuri na inafanyika vizuri tu as long as upo tayari kwenye kuifanya na pia uwe kwenye right team
So ndugu yangu kama upo tayari kufanya just do na kama unamashaka then usifanye na hasa ukiwa hauna team bora ya biashara
utapeli gani sasa wakati unaambiwa nunua bidhaa ukauze kwa faida?!! kupata kamisheni kubwa ni usuguaji wa soli yako tu, ukishinda unacharanga mitaa maofisini, au unaconvice rafiki zako wa fb kununua bidhaa huenda ukafanikiwa, mimi huwa naona ni upotevu wa muda tu, wanaojua marketing za mifumo ya piramidi wanaelewa kuwa daima wenye kufaidika ni wale wa mwanzo, kadri inavokuwa wale wa juu kazi inazidi kuwa ngumu na wanawafanyia kazi wale wa chini tu, bora hata ushike jembe ukapande mchicha utakulipa haraka!
Yap kazi kweli kweli ni kazi ambayo wa chini unamfaidisha wa juu,bidhaa ghali na ukikosa wa kuwaingiza kwenye chama basi we chini ndo utaendelea kusugua viatu.Walioingia mwanzo ndo walifaidi ila kwa wa sasa kama huna network imekula kwako.
Sio utapeli ila wa chini unataabika kumuneemesha wa juu.Mtoa post naamini wanaosapoti hii biashara wamekuja inbox ili angalau nao waongeze mteja.
ukitaka kufanikiwa kwny hii biashara usiangalie suala la kumnufaisha mtu WA juu yako ,jiangalie wewe utanufaika VP ,km ingekuwa ivo unavyosema watu wasingekuwa wananunua vitu vya jumla kwa bakhresa kwa kuogopa kumnufaisha ILA kwa kuwa wanajua hta km wakinunua kwake na wao watanufaika hivyo ndyo mfumo WA biashara ulivyo duniani kote hta wewe hpo inawezekana umeajiriwa sehem na unafanya kazi ambayo inaingizia kampuni hta million 20 lkn mwisho WA mwezi unapewa msahara WA laki saba tofauti network marketing unakuwa na wigo mpana WA kuingiza hela nyingi said khs suala la kuwahi Ni vyema uwahi mapema ukiachana na forever living na gnld ambazo km ukijiunga lazima usote Sana sabab Wako wengi Sana Kuna network marketing mpya watu wanajiunga kwa kazi mno nafasi ya kufanikiwa IPO nje nje
Kwa hiyo hii biashara ni nguvu yako na uwezo wako wa kupiga debe kama huna kipawa cha kushawishi ni shida,Biashara nyingi wateja ni watu wa chini,wenye kipato cha chini,sasa kuwauzia hawa watu dawa ya meno kwa sh.15000 sabuni ya kuogea 10000 kwa maisha ya sasa ni ngumu mnoumenena ILA nakupinga kwmba Ni upotevu WA muda option ya kufanikiwa kwny hii Ni kuwahi km ulivyosema Ina maana kadri unavyozid kuchelewa na nafasi ya kufanikiwa ndyo inavyozid kuwa ndogo km mleta mada unamuona bado anajiuliza wakat watu wanatengeneza pesa muda huu isitoshe network marketing zinaibuka kila siku kikubwa ninachokubal kubali khs network marketing ukitaka kufanikiwa Ni wewe mwenyewe na spidi zako
Kwa hiyo hii biashara ni nguvu yako na uwezo wako wa kupiga debe kama huna kipawa cha kushawishi ni shida,Biashara nyingi wateja ni watu wa chini,wenye kipato cha chini,sasa kuwauzia hawa watu dawa ya meno kwa sh.15000 sabuni ya kuogea 10000 kwa maisha ya sasa ni ngumu mno
Acha UONGOlakini forever haiitaji kiingilio,mtaji wako ndo kiingilio na faida ya kutosha
ww jamaa yetu kumbe unatusanifuhahaaaaa nyanya??kuna mikoa kama rucuma ivi iokitu bado haija timva maguu sasando nataka nikawakamate niwe na wafuasi kwa mji kama dar ni mweli utamaliza viatu
Duh hii biashara ni kama kamari vile.
Yan hiIi libiashara nali chukia sana wahamasishaji wake wase....kuna mmoja nimemtukana sana Jana usku
.
uwiiiiiiiiii.......bora nifanye biashara ya magimbi kuliko 4ever Living... . ..forever ni wezi tu.......
be care with them.