Ukwel kuhusu Mafunzo ya Ualimu ngazi ya cheti

Joined
Aug 27, 2014
Posts
43
Reaction score
11
Polen na kazi wapendwa, pia poleni na stress kwa kile ambacho wizara imefanya, kusema ule ukweli mim niliamua kuwasiliana na mkuu wa chuo Tukuyu, akanambia wakuu wa vyuo vya ualimu vyote wameletewa barua zenye taarifa ya kufutwa kwa mafunzo ya ualimu ngaz ya cheti, na akasisitiza kuwa majina ambayo imetoa serikal ndo hayo na hayatatoka mengine tena, kwa hyo kwa wale wa division four hawakuchaguliwa kwan serikali ilideal na wale wa divishen three tuu,na akasema kua serikali imeteua vyuo vichache vitakavyotoa mafunzo hayo, akaongeza kusema anasikitika kuona serikal imewatupa maelfu ya form four na six na wenye four na division three za mwisho,najua inauma sana ila serikal ndo imefikia na kuishia hapo,kwa taarifa zaid itafute website ya chuo cha tukuyu chukua namba za cm alafu mpigie mkuu wa chuo,na pia serikal hapohapo kwenye division 1-3walikua hawaangalii sana division walikua wanaangalia marks za masomo wanayotaka wao kuanzia A hadi C.
 
mbona wapo wenye two na three nzuri tu! waliomba lakin hawajachaguliwa hasa waliomaliza 2013
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…