Ukweli ambao unafichwa juu ya biashara ya utumwa Tanzania na Africa kwa ujumla

Accumen Mo

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2022
Posts
18,036
Reaction score
39,882
Wasalaam wanajf

Kama kichwa cha uzi kinavyosema , huu ndio ukweli watu wanapotoshwa miaka yote .

Fuatilia hii clip hapo chini
 
Attachments

  • 435925264_754905403158239_7402878899886330816_n.mp4
    11 MB
Wasalaam wanajf

Kama kichwa cha uzi kinavyosema , huu ndio ukweli watu wanapotoshwa miaka yote .

Fuatilia hii clip hapo chini
Ukweli upi nawakati madalali wa watumwa walikua warabu kwenye pwani ya africa mashariki
Seyyid said sultan aliamua kuhamishia makazi yake zanzibar kutoka oman kwa sababu ya utajiri uliokua unapatikana kwenye biashara ya utumwa na karafu zanzibar

Huku pwani ya afrika magharibi walikua
wareno

Waingereza ndo walikua wakwanza kuanzisha society of abolition of slave trade 1787
 
Mkuu kila kitu kilielezewa kwenye somo la historia
Waarabu na baadhi ya ngozi nyeusi walikua madalali tu lakini watumwa walipelekwa huko Ulaya kwa Waingereza, Wafaransa na Wajerumani kwenye mashamba ya miwa
Mpaka pale Waingereza walipoamua kuachana nayo na kujikita kwenye mapinduzi ya viwanda

Umefanya marudio.
 
Acha porojo za kukariri , waliuzwa wapi ?😀😀 Abolition una hakika na ni stori za jaba , kaangalie walivyojaa huku Europe walifikaje
 
Mkuu kila kitu kilielezewa kwenye somo la historia
Waarabu na baadhi ya ngozi nyeusi walikua madalali tu lakini watumwa walipelekwa huko Ulaya kwa Waingereza, Wafaransa na Wajerumani kwenye mashamba ya sukari.
Mpaka pale Waingereza walipoamua kuachana nayo na kujikita kwenye mapinduzi ya viwanda

Umefanya marudio.
Wazungu ndio chanzo cha utumwa , wanaleta matatizo wao halafu wanadanganya😀 Lazima waombe msamaha ndio wamewaletea elimu
 
Mkuu kila kitu kilielezewa kwenye somo la historia
Waarabu na baadhi ya ngozi nyeusi walikua madalali tu lakini watumwa walipelekwa huko Ulaya kwa Waingereza, Wafaransa na Wajerumani kwenye mashamba ya miwa
Mpaka pale Waingereza walipoamua kuachana nayo na kujikita kwenye mapinduzi ya viwanda

Umefanya marudio.
awajaachana nayo kwakupenda bali waligundua niga watajaa kuliko wao baada ya mda manake wao wanzaa watot wa 2 m1 niga anazaa paka 7 wakapga esab wakaona tuachane nayo kuchukua watumwa na virginia jimbo la waxungu mtumwa alibikir mtoto wa bos akampa mimba ndio akaw kachochea moto kwa mafuta wakakaa mezan wabadil mfumo lakin asije tokea mtu akakwmbia waliacha waingerez kwa usawa a hak za bnadam bali waliona matatzo marekan ya kujaz watumwa
 
Back
Top Bottom