Emmanuel nemes
JF-Expert Member
- Nov 20, 2016
- 892
- 654
Elezea sasa kama we mjuajiHivi karibuni limeibuka wimbi la watu wanaojiita wataalamu wanaotibu tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, na pia yameibuka madawa kadha wa kadha ambapo vijana wengi wameishia kutapeliwa.
kiujumla nguvu za kiume its all about your brain, yaani mfumo mzima wa akili kwa ujumla, cha muhim kama ww unasimamisha na unaejaculate basi kwa namna yoyote ile huwezi kujiita kuwa unaupungufu wa nguvu bali una psychology or HYPOTHALAMUS problem. Nitarudi tena kuelezea kwa kina mechanism ya kudeal nayo.
Nawasilisha.
Ndugu yangu, ni ukweli uliowazi kuwa kinachaadhiri vijana ni utandawazi, kile wanachokiona kwenye video za ngono wakijifananisha na maumbile yao basi psychological wanajenga mtazamo kuwa mbona mm siko hvi? Wapo wanaosema kuwa uke unakuwa mkubwa kwa kutumika sana HAPANA kumbuke ule ni lastic ambayo hurudi ktk uhalisia wake, vibamia na upungufu wa nguvu ni HYPOTHALAMUS Problem.Dr, tafadhari naomba unifafanulie kidogo hapo., huo Ugonjwa wa upungufu wa Nguvu za Kiume unatofautiana na huo wa Viba100?
....Ongeza na msosi wa mkoani.Naunga Mkono Hoja!utakuta mtu anatumia mundende Sijui....Mara electro nini wengine wanaita lampard....lkn kikubwa ni ubongo wako ukatavyoiseti tu....
Mfano tu wakati Una sex alafu unapigiwa sim ukambiwa gari au fedha zako zimeibiwa hapo Lazima chumu kisifanye kazi....
Hata Ukiwa na frastruation Kwa hali hiyo huwezi kugegeda...so Lazima ubongo wako uwe sawa na tulivu
Ova
Karibu, darasa linakuja hvi karibuni humu humu, utanufaika sana na utajiona mpya. Ni hapa hapa no pmElezea sasa kama we mjuaji
Msosi Una matter sana na kupiga Tizi....Ongeza na msosi wa mkoani.
Kweli ndugu, na ukiweza kudeal na HYPOTHALAMUS, Wewe ni zaidi ya simba. Nitaleta darasa hapa hapa hvi karibuni.Naunga Mkono Hoja!utakuta mtu anatumia mundende Sijui....Mara electro nini wengine wanaita lampard....lkn kikubwa ni ubongo wako ukatavyoiseti tu....
Mfano tu wakati Una sex alafu unapigiwa sim ukambiwa gari au fedha zako zimeibiwa hapo Lazima chumu kisifanye kazi....
Hata Ukiwa na frastruation Kwa hali hiyo huwezi kugegeda...so Lazima ubongo wako uwe sawa na tulivu
Ova
Kweli ndugu, na ukiweza kudeal na HYPOTHALAMUS, Wewe ni zaidi ya simba. Nitaleta darasa hapa hapa hvi karibuni.Naunga Mkono Hoja!utakuta mtu anatumia mundende Sijui....Mara electro nini wengine wanaita lampard....lkn kikubwa ni ubongo wako ukatavyoiseti tu....
Mfano tu wakati Una sex alafu unapigiwa sim ukambiwa gari au fedha zako zimeibiwa hapo Lazima chumu kisifanye kazi....
Hata Ukiwa na frastruation Kwa hali hiyo huwezi kugegeda...so Lazima ubongo wako uwe sawa na tulivu
Ova
Ngoja tusubiri hiyo shuleKweli ndugu, na ukiweza kudeal na HYPOTHALAMUS, Wewe ni zaidi ya simba. Nitaleta darasa hapa hapa hvi karibuni.
Leta mkuu tupe vitu adimu.....maana huku uraiani watu wanalishwa mpaka randa za mgao zimesagwa wanambiwa dawaKweli ndugu, na ukiweza kudeal na HYPOTHALAMUS, Wewe ni zaidi ya simba. Nitaleta darasa hapa hapa hvi karibuni.
Kweli ndugu, na ukiweza kudeal na HYPOTHALAMUS, Wewe ni zaidi ya simba. Nitaleta darasa hapa hapa hvi karibuni.
nasubiri hilo somo hivi karibuni kama ulivyosemaKweli ndugu, na ukiweza kudeal na HYPOTHALAMUS, Wewe ni zaidi ya simba. Nitaleta darasa hapa hapa hvi karibuni.