Ukweli katika mahusiano

Yatima asante kwa kua na mawazo endelevu....
 
unajua siku hz nikiangalia kwny uhusiano ni bora uwe na mpenz asiyesoma ila awe mwepes kwny elimu dunia. Mana asilimia kubwa ya wasom ni wajinga nikiwa na maana atajiona anajua kila kitu na hvyo hawez kukubali kushauriwa chochote. Kwanza asilimia kubwa ya wasomi (sana sana wanawake) ni wavivu kufanya jambo la maendeleo yan hawatak kufanya kaz ngumu na hvyo hata kwny mahusiano yeye anajidai anajua kila kitu na hii ndo sababu unakuta wanachelewa kuolewa. Kingne wanakuwa sio waaminifu hii ni kutokana hawana haibu na mtu yoyote na mahal popote. Hvyo wanatokea kujiamin kupita kiasi na ndo mana wanaachika kama anavyo acha kaz vile. So kuwa msomi na kutosoma sio tatzo tatzo wewe mwenyewe umeelimika vipi kwny masuala ya mahusiano. Elimu co kigezo cha uelewa au uzuri. Kama alivyosema LIZZY
 
Bwana ulosema yanawezekana lakini sio 100% kweli yapo kwa baadhi ya watu.
Matatizo mengi ya wanawake yanategemea na malezi ya awali. unaweza ukapata mwanamke msomi akawa tofauti kabisa na unavyofikiri. au ukapata asiye msomi akawa powa kabisa mwenye mawazo yenye maendeleo. Chamuhimu ni kumtanguliza mwenyenzi Mungu katika hili.
nina rafiki mwenye elimu ya kawaida akaoa binti very educated, kwa kweli ndoa yao haikudumu hata mwaka. nina rafiki mwingine kipindi fulani alikuwa mwalimu chuo kikuu Dar, alioa house girl wa prof mmoja hapa udsm na sasa wanaishi happy na mwanamke she is very big business woman in one northern region.
 
una mke msomi wewe au unaandika mambo ya kufikirika tu. Wanawake wengi wasomi ni wasafi kwa nje ila ukifika kwake ni uchfu mtupu ndo maana hawaachi kuajiri mahausi g. Inshort ni kwamba hizi si sifa za mwanamke msomi ni sifa za mwanamke yoyote ni swala la tabia tu. Kwanza mnatakiwa muweke wazi msomi ni mtu yupi halafu ndo muanze kujadili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…