Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Team ya Azam kwa sasa imekuwa chini ya Uangalizi wa mtoto wa Bakhresa anayeitwa Yusuf. Huyu kwa kipindi kirefu alikuwa nje ya nchi. aliirudi ili aje aisimamie Azam Sports Club baada ya kuwa inasua sua.
kwa muda mrefu Azam imekuwa chini ya walimu Wareno hawa wamekuwa wakisaka vipaji na kutoa shauri mbalimbali kuhusiana na soka katika club hii. katika kupandisha wachezaji chipukizi na kusajili pia.
Hawa wataalam ndiyo walimshauri Yusuf kuwa asihangaike sana na wachezaji toka Latin America wengi hushindwa ku perform kutokana na mazingira lakini nao hupenda sana kukaa na familia zao. hivyo aangalie wachezaji wazuri walioko katika ligi.
Ndipo Yusuf aliweka nia ya kuwapata wachezaji 6 ambao kati yao yupo Feisal Toto na Job hawa wa Yanga na Clatous Chama wa Simba. na wengine wa 3. ilikuwa na Manura naye aende Azam alishachukua mpunga. wakakaa wakaamua kuyamaliza baada ya wakubwa flani kuingilia na kusema watarudisha pesa aliyochukua Manura.
Mpango wa Yusuf ni kuwa amchukue Feisal acheze kidogo Azam kisha akamuuze kwa dau zuri huko Ureno kuna team inamtaka. na dau lao ni zuri alikuwa na uhakika wa kubaki na faida isiyopungua Mil 400.
Feisal mkataba ilikuwa mnamruhusu kuvunja na kurudisha mishahara ya miezi mitatu pamoja na signing fee ambayo itakuwa imebaki kwa kipindi ambacho atakuwa anaondoka. Yusuf alimlipa Feisal hiyo pesa baada ya kuwa ameshaongea na mama yake Feisal na kukubaliana.
Feisal akachukua ile pesa na kwend iweka kwenye akaunti ya Yanga pasipo kuwa amefuata utaratibu wa kitaalumu. mhasibu wa Yanga alipoona kuna pesa imeingizwa kwenye akaunt inasoma inatoka kwa Feisal. haraka akawasiliana na Viongozi wa Yanga. wakashtuka wakijua kuna issue inakuja. haraka wakawahi TFF.
kihalali ni kuwa Yanga wanapaswa wamuachie Feisal ila wanachoona TFF kuwa wanaweza zusha mgogoro mkubwa sababu wachezaji wengi wanaweza amua kuwa wanavunja tu mikataba kwa namna hiyo. na hapa zinazolindwa ni teams kuu mbili.
Simba na Yanga. kumbukeni hizi teams zinatumika kisiasa pia. hivyo wakaona Azam inaweza zivuruga sana maana pesa wanayo na hawana ubahili. ili kutotoa mwanya kwa wachezaji wengine kufanya hili wakaona dawa ni kumzuia Feisal asiende Azam.
Wakati huo huo Chama yupo kiporo. mkataba wake unakaribia kuisha. Azam wameshaonesha nia kwake. Simba wanapomfuata kutaka kumwongezea mkataba anapiga chenga anasubiri afike mwishoni aje apige pesa nzuri akiwa anawaniwa na Simba na Azam. Yanga Dickson Job na mchezaji mmoja simtaji wao pia wamewekwa standby
Haya ndiyo ambayo yanaendelea kwenye viunga vya mpira nchini Tanzania. nawaletea hizi ni habari za ndaaaaaaaaaaaani kabisa. nitazidi wahabarisha kinachoendelea.