Ukweli kuhusu bikira na ushauri wangu kwa vigoli kama mpo..!

Sidhan kama kuna mtu unamhusu huu ushauri hapa jf,kuna bikra kweli?
 
Nasikia bikra nyingine zinatolewa na baiskeli na michezo ya rede.Ukimbahatisha wa hivyo inakuwa afadhali aisee.
 
ushauri wako mzuri sana ... msg sent ucijali ....
 
mimi darasa la saba pia unanifaa.
Ahsante muheshimiwa mtoa mada.
usiwe na hasira si uliamua kuipoteza mwenyewe mapema hicho kitu kina THAMANI KUBWA kwa mwanamke hasa akiolewa nayo najua wengi huwa mnajilaum lakin ndyo hivyo tena endeleeni na maagano yenu.nalog off
 
mimi darasa la saba pia unanifaa.
Ahsante muheshimiwa mtoa mada.
Mhhh, :flame:ngoja nijinyamazie tu hapa..

usiwe na hasira si uliamua kuipoteza mwenyewe mapema hicho kitu kina THAMANI KUBWA kwa mwanamke hasa akiolewa nayo najua wengi huwa mnajilaum lakin ndyo hivyo tena endeleeni na maagano yenu.nalog off

Asante, labda wewe atakuelewa..
 
Kwa hiyo mara baada ya kubikiriwa, msichana ndiyo hukoma kuwa na maamzi juu ya mwili wake? Yaani from that point on ndiyo hugeuka Zombi kila amuanpo mbikiri wake?
Acha uvivu wa kutumia akili, na msipende ku project mambo yaliyowatokea as if ndiyo maisha yenyewe kumbe masikii ni bahati mbaya zenu zinawaandama, kiasi hata uwezo kuwaona wazuri hamunao mnaishia kuota masua vichwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…