CalvinPower
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 1,634
- 1,001
wakuu naombeni kujua ukweli kuhusu brand name ya jezi za timu ya taifa ( taifa stars) ina michirizi ya adidas lakini nasikia sio adidas ila ni adidas feki. wakuu wa adidas walikuja kwaajili ya kuchukua tenda ila wao wakaenda kutengeneza sehemu nyingine.