wakuu naombeni kujua ukweli kuhusu brand name ya jezi za timu ya taifa ( taifa stars) ina michirizi ya adidas lakini nasikia sio adidas ila ni adidas feki. wakuu wa adidas walikuja kwaajili ya kuchukua tenda ila wao wakaenda kutengeneza sehemu nyingine.
Hakuna cha Adidas au nini hapo! TFF in 2006 walifloat tender ya mtu atakayedizaini jezi na nadhani kashinda mtu mmoja anaitwa Dewji mwenye duka la michezo pale raundabaut ya DTV Jamuhuri street.