Ukweli kuhusu chromosomes X and Y

Butiyangu

Senior Member
Joined
May 19, 2018
Posts
123
Reaction score
168
Wanajanvi naombeni kupata ukweli halisi kuhusu hizi mbegu za kiume na kike X and Y, wataalam wanatuambia kuwa mwanaume huyo mbegu X na Y na mwanamke hutoa Mbegu sina ya X pekee, sasa napenda kujua nikweli hayo mambo ya Mbegu yamekaa kama X au Y? Ni nn mahusiano ya hizi herufi kwy uumbaji wa mwanadamu? Na km wataalam waliamua kutumia hizo herufi ili kutofautisha tu, je ni yapi maumbo halisi ya hizo mbegu mbili? Pia kwenye mwili wa mwanadamu au kuna hizo herufi? Vivo hivyo kwy magroup ya damu. Asanteni naomba wataalam watujuze
 
Swali zuri mkuu subiri wajuvi waje kutujuza.
 
Ungegoogle hili swali ungepata majibu haraka mno, jitahidi ukiwa unamwaga usifumbe macho utaziona zikiwa zinaruka zinatengeneza herufi
 
Ungegoogle hili swali ungepata majibu haraka mno, jitahidi ukiwa unamwaga usifumbe macho utaziona zikiwa zinaruka zinatengeneza herufi
Google imebeba aina zote za takataka mkuu, majibu mazuri ni ya kwy mjadala km huu, na hapa kwy janvi ni zaidi ya hiyo Google, lkn pia umesahau kitu, nimeingia kwy hili janvi kupitia hiyo hiyo Google
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…