Wanajanvi naombeni kupata ukweli halisi kuhusu hizi mbegu za kiume na kike X and Y, wataalam wanatuambia kuwa mwanaume huyo mbegu X na Y na mwanamke hutoa Mbegu sina ya X pekee, sasa napenda kujua nikweli hayo mambo ya Mbegu yamekaa kama X au Y? Ni nn mahusiano ya hizi herufi kwy uumbaji wa mwanadamu? Na km wataalam waliamua kutumia hizo herufi ili kutofautisha tu, je ni yapi maumbo halisi ya hizo mbegu mbili? Pia kwenye mwili wa mwanadamu au kuna hizo herufi? Vivo hivyo kwy magroup ya damu. Asanteni naomba wataalam watujuze