Anaweza asipate ujauzito tena hapo baadaye, hizo dawa zina madhara hasi mengi sana mwilini, mimi mke wangu hatumii hizo tangu siku ya kwanza. Uwe unakojoa nje siku za hatari au ikibidi tumia mpira hizo dawa si nzuri.
ivi na hiyo nayo ni njia ya uzaza wa mpango?
Anaweza asipate ujauzito tena hapo baadaye, hizo dawa zina madhara hasi mengi sana mwilini, mimi mke wangu hatumii hizo tangu siku ya kwanza. Uwe unakojoa nje siku za hatari au ikibidi tumia mpira hizo dawa si nzuri.
Hizi dawa wanazipa promo sana lakini zina madhara makubwa. Kuna mdada ofisini alizaa mtoto wa kwanza hafu akaweka implant, kaitoa Ili azae wa mtoto pili, mwaka wa tatu sasa hajapata mimba. Baada ya miaka kadhaa matatizo ya uzazi Africa yatakua juu sana