Ukweli Kuhusu Doumbia

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Majuzi beki maahiri anayetegemea kutua Jangwani hakuonekana katika kikosi chake cha Mali kinashoshiriki michuano hiyo huko Algeria
Wengi wamejiuliza kulikoni beki huyo maahiri kutokuwemo ktk kikosi kile
Ukweli ni huu hapa

Doumbia nibeki tegemeo wa kikosi kile cha taifa Mali na ndio team captaine wao.

Wakati Mali wakiwasili nchini Algeria kushiriki shirikisho lao la soka likapokea taarifa za Doumbia kukamilisha taratibu zote za uhamisho wa kuamia Young african ikumbukwe dirisha lilifungwa jumapili iliyokwisa...hapo ikawa ina maana Doumbia amepoteza sifa za kushiriki michuano ya chan inayohusisha wachezaji wanaocheza ligi za ndani tu

Imebidi viongozi wa Mali kuiandikia Caf kuomba mwongozo juu ya uwezekano wa kumtumia mchezaji huyo kwani wakati jina lake lilivyopelekwa na kupokelewa Caf alikua bado anacheza ndani ya mali,na hadi michuano ilipoanza,shida imekuja kabla ya mali kucheza ile game yao Yanga wakakamilisha uhamisho wake.

Inasemekana wameomba mwongozo na wanasubiri watajibiwa nini.hiyo ndio sababu ya Doumbia kutoonekana katika kikosi cha Mali siku ya Jumatatu.
 
Si msubirie tutaona huyo ni mcezaji wa yanga si lazima aichezee Mali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…