Ukweli Kuhusu Dragons

plan z

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2019
Posts
1,394
Reaction score
1,434
Ukimtizama Dragon kwa makini kabisa kisha umtathimini halafu umng'oe mabawa na miguu kwenye ufahamu wako utapata taswira ya kiumbe fulani.

Umegundua nini?

Dragon ni Joka. Isipokuwa joka huyu ana mabawa na miguu na anatema moto.

Tangu mwanadamu wa kwanza kuumbwa hadi sasa ni takribani miaka 6120. Lakini Dragon waliishi kipindi cha nyuma zaidi kabla ya wanadamu na alitoweka kabla ya wanadamu kuletwa duniani. Sasa ndio ujiuluze binadamu kamjuaje Dragon na hajamkuta.

Nyoka aliyemdanganya Hawa pale bustani ya Edeni alikuwa na miguu miwili hadi minne lakini akalaaniwa atatambaa kwa tumbo.

Hebu mvalishe mabawa huyo nyoka halafu ateme moto. Je ndio amekuwa Dragon. Jibu ni Hapana.

Ukristo ulipoingia uliwakataza watu kuamini uwepo huo kwani unamwakilisha shetani.

Kuna siri nzito ninayoifahamu kuhusu Dragons lakini kwa leo sitawaambia kuepusha kutokuelewana. Ila tambua kwamba Dragon walikuwepo.

View attachment:


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimtizama Dragon kwa makini kabisa kisha umtathimini halafu umng'oe mabawa na miguu kwenye ufahamu wako utapata taswira ya kiumbe flani.

Umegundua nini?

Dragon ni Joka. Isipokuwa joka huyu ana mabawa na miguu na anatema moto.

Tangu mwanadamu wa kwanza kuumbwa hadi sasa ni takribani miaka 6120. Lakini Dragon waliishi kipindi cha nyuma zaidi kabla ya wanadamu na alitoweka kabla ya wanadamu kuletwa duniani. Sasa ndo ujiuluze binadamu kamjuaje Dragon na hajamkuta.

Nyoka aliyemdanganya Hawa pale bustani ya Edeni alikuwa na miguu miwili hadi minne lakini akalaaniwa atatambaa kwa tumbo.

Hebu mvalishe mabawa huyo nyoka halafu ateme moto. Je ndo amekuwa Dragon. Jibu ni Hapana.

Ukristo ulipoingia uliwakataza watu kuamini uwepo huo kwani unamwakilisha shetani.

Kuna siri nzito ninayoifahamu kuhusu Dragons lakini kwa leo sitawaambia kuepusha kutokuelewana. Ila tambua kwamba Dragon walikuwepo.

View attachment:

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii miaka 6120 umeipata kwa hesabu zipi???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli gani mbona hakuna ukweli wowote?
Kusema una siri nzito unayoifahamu khs dragon na kushindwa kuisema.
Hapo wakubwa tunaelewa hujui unachokisema,kwaio umedanganya kuhusu Dragon.
 
Sawa mkuu, ngoja tuongeze views

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umejitahidi sana kuifafanua.

Kwa uelewa wangu mdogo na data nilizonazo wapo!

Hatuwezi kuwaona kirahisi, ukitaka kuelewa kwa haraka angalia ndugu zetu wa bara la Asia. Huyo kiumbe anatokea sana kwenye chapisho zao, ukiiva nao vya kutosha watakugusia habari za dragon.

Mwisho na kubwa isije ikafika pahala wakasogea uso wa dunia tena yani ana kwa ana bin-adam. Itakua mwisho wa kizazi chetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana sikutaka kuingia ndani sana. Jinsi Aliens wanavyotokea katika uso wa dunia watu wanawashangaa, wale Aliens hawaondoki hivihivi kuna kitu wanakichukua kwa wale watu wote waliomshangaa bila watu hao kujua wamechukuliwa nini. Sasa kwa Dragons ndiyo hivyo hivyo. Ila hawapo kwenye uso wa dunia, kama binadamu kamjua Dragon na hajamkuta maana yake kamwona. Ila baada ya kumshangaa kuna kitu anaibiwa bila kujua. Kazi za giza.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Guys kwani Pale Bustanini c ndo Adam alikula Tunda kimasihara Basi tu kwa bible imeandikwa kimafumbo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…