Ukweli kuhusu hali ya Mabenki Tanzania.


Na dimbwi la ujinga na unafiki unaotishia zaidi
 


hukuna sehemu umezungumzia, retio ya mikopo against mtaji kwa CRDB?? kwa mujibu wa sheria ya BOT amabayo CRDB walikuwa wamekwenda beyond??

PIli mimi ni mteja wa CRDB, ni kweli walisimama kutoa mikopo kwa muda, na si walauum "The game"has changed ghafla form mazoea to rality so they had to adjust.

Now wana kopesha kwa wafanyabiashara, mradi tu utimize vigezo na masharti yanayohitajika. hawana hiana.
 
Naona Umeivunjilia Mbali ile Hoja ya Wanaosema kuwa Wanaosema kuwa Uchumi Umedorora Baada ya Serikali Kuhamisha Kiwango Kikubwa cha Hela!
Please Would you come in English vassion?
vassion=version!
 
Jamani mimi nimebahatika kuishi na huyu jamaa Pugu secondary kiukweli jamaa anajua uchumi. Kiufupi jamaa now ni mwalimu University of Dar es salaam na alipata div 1 point 7 form four na kuwa Tanzania 2, form six alipata div 1 point 4 huku economics akiongoza kitaifa. Nilivyoliona bandiko lake humu nimelisoma kwa makini maana namjua kwa hiyo kama kumponda pondeni lakini jueni huyu ni mtaalamu kweli wa uchumi.
Big up waziri mkuu wa zamani wa Pugu boys
 
Mkuu nina wasiwasi na phd yako
Kwenye hoja ya kwanza unakiri kabisa ni watu kushindwa kulipa madeni yao ktk mabenki-hv phd candidate unayesomea mamb ya fedha unashindwa relate uhusiano huu wa kushinwa kwa wateja wengi kurejesha mikopo na uchumi wa nchi????? Kama miaka ya fedha 2 iliyopita watu waliweza kurejesha why jn this financial year??
Kwenye hoja ya pili-kama mabenki yalishindwa kesi na yakalazimika kilipa kodi hiyo inayotokana na mikopo-na kutokana ulivyooandika unamanisha walitoa kodi hiyo kwa mkupuo-sasa serikali kupitia wizara ya fedha na benk kuu walikuwa wapi kujua kawa hatua hiyo inaweza kusababisha hali mbaya ya kiuchumi na badala yake wangefanya au kuweka utaratibu mzuri ili mabenki yalipe kodi hiyo kwa awamu ili kuepusha mdororo wa uchumi????
Hoja ya tatu ndio umechochora kabisa unasema kuanguka kwa twiga benk ni kutokana na serikali kutoongeza mtaji katika benk hiyo-naomba nikuulize kwani twiga walikuwa wanapanua biashara mpaka waongezewe mtaji???? Kama benk ingekuwa inafanya vizuri maana yake mtaji ungeongezeka automatically.watejwa kushindwa kurejesha mikopo ndani ya benk hiyo na twiga kuomba mtaji tena ni dalili mbaya kiuchumi
 
Kwahiyo unakubali kuwa matatizo hayo ya benki yametokana na serikali kwa maelezo uliyoyatoa. mfn TRA na mabenk kuvutana
 
Naona Umeivunjilia Mbali ile Hoja ya Wanaosema kuwa Wanaosema kuwa Uchumi Umedorora Baada ya Serikali Kuhamisha Kiwango Kikubwa cha Hela!
...Inaonekana watu hawajaelewa vizuri kitu alicho address hapa. Anaongelea hoja ya mabenki kufilisika kwa kuwa Serikali imeondoa fedha na kupeleka benki kuu. Actually anategemea - kutokana na analysis yake - mabenki kupata faida karibuni.

...Kuna tofauti kati ya fedha kuadimika mtaani, biashara ndogo na za kati kuwa ngumu, n.k. na mabenki kufilisika.

...Kuna watu walifurahi Serikali ilipotoa agizo lile, wakisema benki zitafilisika, kwamba Twiga Bankcorp imeanza, nyingine zinafuata. Wamejibiwa kwa hoja.
 
Acha kukariri tuponde ili iweje kufundisha na kupata dvsn 1 havina uhusiano wwte hata dr mpango ambaye anabolonga uchumi alikuwa mwalimu wa chuo kikuu akifunsiha uchumi
 
Hata kama unveils candidate wa PhD LSE nisingekuelewa.
 
Hoja Ya kwanza pesa nyingi zilizokopeshwa zilienda kwenye mashule binafsi,mahoteli,the booming real estate kwa wakat huo na sekta ya utalii na usafirishaji kwa kiasi chake kama ume observe Hali Ya kifedha ya hizi biashara kwasasa ni mbaya...kuna 90% chance kuona mabank tena yakifanya written off ya hizi Non performing loan jambo ambalo linaashiria Economic slowdown...its to early kusema tumefika hapo ila haitaji rocket science kuona kuwa tunaenda huko
 
Too narrow brother...umeelezea Kama mwanasiasa uliyetumwa to clear atmosphere.. Economists huwa tunaelezea kwa data not blah blah... I was expecting unambie kati ya 2016 na miaka ya nyuma ratio ya non performing loans ni kiasi gani? To help for more than five years Crdb imerecord non performing loans kubwa 2016 kubwa kuliko miaka ya nyuma ndio maana bank ikasitisha mikopo... Na bank husitisha utoaji wa mikopo tu inapoona mikopo mingi Inakuwa ngumu to recover (bad debt) and this issue imeenda not only to Crdb but also NMB Postal bank..and to cut the story chanzo cha bad debts huwa ni kuporomoka kwa uchumi kwa wananch au bank kutokuwa makini kwa akina nani wakuwapa mikopo which hili always haliwezi kuwa tatizo. etc
Umezungumzia issue ya twiga bank.. Can you kindly explain ni kiasi gani bank inatakiwa iwe nacho kama minimum mtaji na ni when bank ili fall out of minimum balance as capital? Usiniambie serikali sijui iliacha ijiendeshe bila mtaji kwa sababu wao ndio wamiliki.. Unajua Maana ya required ratio? B. O. T could not allow such thing.. Hili tatizo la twiga ni 2016
Umeandika Bla Bla Bla Kama majibu wanayotoa akina Mwi...mpaka uvivu kukujibu
 
NA NYIE NDIO WATU ambapo ushauri NA tafiti zenu HUWA nasoma so nimezingatia
 
Wafanyabiashara wanafunga biashara, wanakosa mikopo, raia hawafanyi savings benki, watumishi wamesitishiwa mikopo kwenye mabenki kadhaa, still mnadai hali iko poa! Mungu anawaona!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…